Posts

Showing posts from October, 2025

mawakili wa kukodishwa KAUNTI ya trans nzoia

Hatua ya serikali ya kaunti ya Transnzoia ya kutumia mawakili wa kukodishwa kwenye kesi mbali mbali zinahusiana na kaunti imekashifiwa vikali na chama cha wafanyikazi katika kaunti hiyoMwenyekiti wa chama cha wafanyikazi kaunti ya Transnzoia Samuel juma kiboi amesema kuwa ni kinaya kwa serikali ya kaunti kutumia mawakili wa kukodisha ilhali kuna mwanasheria wa kaunti aliyejukumiwa kuhakikisha kuwa anasimamia kesi zote za serikali ya kaunti,akisema hatua hii inachangia utumizi mbaya wa raslimali za kaunti

MIMBA ZA MAPEMA

Kichwa cha habari: Mimba za Mapema Zavuruga Ndoto za Wasichana Kaunti ya Trans Nzoia Katika vijiji vingi vya Kaunti ya Trans Nzoia, ndoto za wasichana wengi zimeendelea kuyeyuka kutokana na tatizo sugu la mimba za mapema. Wengine wamejikuta wakitelekezwa na wazazi, huku wengine wakilazimika kuacha masomo yao kutokana na aibu na changamoto za kulea watoto wakiwa bado wachanga kiumri. Katika kijiji cha Kitalale, tunakutana na Mary (si jina lake halisi), msichana mwenye umri wa miaka 16 ambaye sasa ni mama wa mtoto wa miezi sita. Mary anasema alipatwa na mimba alipokuwa kidato cha pili katika shule ya upili ya eneo hilo. > “Nilihadaiwa na kijana aliyeniambia ataninunulia simu. Nilipogundua nina mimba, alikataa kuniunga mkono. Nililazimika kuacha shule kwa sababu wazazi wangu walikasirika sana,” anasimulia kwa huzuni. Kulingana na takwimu kutoka ofisi ya ustawi wa jamii katika kaunti hiyo, zaidi ya wasichana 2,000 walipata mimba kati ya umri wa miaka 13 hadi 19 mwaka 2024 pekee. Wataala...

TAARIFA ZA KIMATAIFA

Visa Vitatu Vya Ebola imeripotiwa Nchini Uganda Na Kufikisha Idadi Jumla Ya Visa 12 Tangu Kuripotiwe Kwa Maambukizi Hayo Mwishoni Mwa Mwezi January Mwaka Huu , 2025. Shirika La Afya La The African Unions Health Agency Limetangaza. Watu Wengine 69 wametajwa Kuwa Walikaririana na Walioadhirika Na Ugonjwa Huo Wa Ebola. Taarifa Zaidi Zimesema Kwamba Kufikia Sasa Watu 2 wamekufa Kutokana Na Ebola Huku Mtoto Wa Miaka Minne Na Muuguzi Wakiendelea Na Matibabu Kutokana Na Ebola , Wilaya Tano Kote Nchini Uganda Ikisemekana Kuwa Imeripoti Kuwa na Maambukizi Ya Maradhi Hayo Hatari. Jumatatu Wiki Hii, Umoja Wa Mataifa Ulianzisha Shughuli Ya Kukusanya Shillingi Dola Milioni 11.2 Ili Kusaidia Katika Kukabiliana na Mkurupuko Huo Wa Ebola Baada ya Marekni kutangaza Kusitisha Msaada Wake Wa Kiutu. Kufikia Sasa Chanjo Ya Ebola Ya Sudan Bado Haijapatikana. MWISHO Show quoted text

SIASA ZA KITAIFA

kinara wa chama cha wiper kalonzo musyoka amesema kwamba ana imani kuwa kwa ushirikiano na viongozi wengine watambandua afisini rais dkt william ruto kwa kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. akiongea kwenye eneo bunge la likoni katika kaunti ya mombasa, kalonzo ameusuta uongozi wa rais ruto akisema kwamba umefeli kushughulikia maslahi ya wananchi kama walivyokuwa wameahidi. kalonzo ameongeza kwamba sekta muhimu kama vile afya na elimu zimeendelea kukumbwa na changamoto kutokana na sera mbovu zilizoanzishwa na serikali ya kenya kwanza baada ya kutwaa mamlaka ya nchi. Insert kalonzo on ukombozi.   KITAIFA viongozi kwenye chama cha odm wameendelea kukariri kwamba chama hicho hakijaingia katika serikali ya kenya kwanza kufuatia kuteuliwa kwa baadhi ya wanachama wake kama mawaziri. mbunge wa suba kaskazini millie odhiambo amesema kwamba chama hicho kinaendeleza ushirikiano na serikali kwa ajili ya kuboresha utendajikazi kwa manufaa ya wananchi. kulingana na odhiambo ambaye ni kiranja ...

MAONI YA WAKAZI WA TRANS NZOIA KUHUSU UAMUZI WA TRUMPH

Maoni ya wakazi kuhusu kauli ya rais wa marekani Donald Trumph   Siku chache baada ya rais wa marekani Donald trump kuapishwa amesema kuwa ni wakati sasa viongozi wa nchi zingine kuacha ufisadi na kuanza kujitegemea .wakazi wa kaunti ya trans nzoia wametoa kauli mbalimbali kuhusiana na hoja hiyo ya trump kulingana na barrack mkaazi wa mji wa kitale katika kaunti ya trans nzoia amesema kuwa Trump amekosea kusema kuwa viongozi wa afrika wajisimamie kwa sababu marekani wakiwa wafadhili wakuu wanapaswa kushiriakiana na viongozi wa nchi ambazo hazijaendeleai ili kuwainua kimaendeleo . kauli sawia imekaririwa na junephana wepukhulu mkaazi wa liyavo amemwomba trump kutositisha ufadhili wa madawa kwa sababu watu wenye maisha ya chini ambao wanaoishi na virusi vya ukimwi, saratani na malaria ndio watakaongamia kwa kukosa fedha za kufadhili matibabu Yao. Aidha, Boaz khaemba ambaye ni bodaboda wa mji wa kitale amesema kuwa anaunga hatua ya trump ya kuondoa misaada kwa sababu misaada ming...

MAUAJI KAUNTI YA KISII

Nyumba za mshukiwa wa mauaji katika eneo la entanda kitutu chache kaskazini mwa kisii zimeteketezwa na wakaazi.wakaazi hao wameweza kuteketeza nyumba tatu za mshukiwa huyo. Familia ya marehemu imeirai serikali ya nyakongo kuingilia kati nakuwasaidia kupata haki ya kifo cha mpendwa wao, aliyeuwawa kikatili nyumbani kwake.   Insert…….FAMILIA   Kulingana na afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma katika kaunti ya kisii kisa hiki cha mauaji kilitekelezwa na polycarp osero mwanawe marehemu .Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma imeweza kusisitiza mkewe polycarp kuwa shahidi mkuu katika kesi hiyo.   Insert….ofisi ya odpp Show quoted text

shattered dreams justification

‎Written Justification: Investigating School Dropouts ‎ ‎Education is widely recognized as the foundation of personal growth and national development. However, in many parts of Kenya, school dropout cases continue to rise despite government efforts to ensure free and compulsory basic education. This investigation seeks to uncover the underlying causes, effects, and possible solutions to the increasing cases of school dropouts within the community. ‎ ‎The topic is justified because the issue directly affects the nation’s future workforce and development goals. Every child who leaves school prematurely loses the opportunity to achieve their full potential, which in turn contributes to unemployment, early pregnancies, poverty, and social instability. ‎ ‎Investigating this issue will help identify the specific factors leading to school dropout — such as poverty, teenage pregnancy, child labour, drug abuse, and family breakdowns — from the perspective of those directly affected. It will als...

INVESTIGATIVE FEATURE

‎ ‎SHATTERED DREAMS ‎ ‎By : Florence Wanyonyi  ‎ ‎At 14,faith sits on a wooden bench outside her bosses house, braiding hair for small change. Just two years ago, she was a bright student who dreamed of becoming a lecturer .Today, her school uniform gathers dust in a corner. ‎ ‎Faith’s story is far from unique. In Eldoret, more and more children are leaving classrooms long before they finish their education. Some drop out quietly, unnoticed. Others are forced out by circumstances beyond their control. Together, they form a hidden crisis — one that threatens not just their futures, but the nation’s. ‎ ‎According to the Ministry of Education’s 2024 statistics, an estimated 250,000 Kenyan children aged 6–17 are out of school. In rural counties, dropout rates are as high as 30% in secondary schools. While the government boasts near-universal enrollment in lower primary, the challenge remains keeping students in school long enough to complete their studies. ‎ ‎Behind each missing number...