TAARIFA ZA KIMATAIFA
Visa Vitatu Vya Ebola imeripotiwa Nchini Uganda Na Kufikisha Idadi Jumla Ya Visa 12 Tangu Kuripotiwe Kwa Maambukizi Hayo Mwishoni Mwa Mwezi January Mwaka Huu , 2025.
Shirika La Afya La The African Unions Health Agency Limetangaza.
Watu Wengine 69 wametajwa Kuwa Walikaririana na Walioadhirika Na Ugonjwa Huo Wa Ebola.
Taarifa Zaidi Zimesema Kwamba Kufikia Sasa Watu 2 wamekufa Kutokana Na Ebola Huku Mtoto Wa Miaka Minne Na Muuguzi Wakiendelea Na Matibabu Kutokana Na Ebola , Wilaya Tano Kote Nchini Uganda Ikisemekana Kuwa Imeripoti Kuwa na Maambukizi Ya Maradhi Hayo Hatari.
Jumatatu Wiki Hii, Umoja Wa Mataifa Ulianzisha Shughuli Ya Kukusanya Shillingi Dola Milioni 11.2 Ili Kusaidia Katika Kukabiliana na Mkurupuko Huo Wa Ebola Baada ya Marekni kutangaza Kusitisha Msaada Wake Wa Kiutu.
Kufikia Sasa Chanjo Ya Ebola Ya Sudan Bado Haijapatikana.
MWISHO
Show quoted text
Comments
Post a Comment