MAUAJI KAUNTI YA KISII


Nyumba za mshukiwa wa mauaji katika eneo la entanda kitutu chache kaskazini mwa kisii zimeteketezwa na wakaazi.wakaazi hao wameweza kuteketeza nyumba tatu za mshukiwa huyo.

Familia ya marehemu imeirai serikali ya nyakongo kuingilia kati nakuwasaidia kupata haki ya kifo cha mpendwa wao, aliyeuwawa kikatili nyumbani kwake.

 

Insert…….FAMILIA

 

Kulingana na afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma katika kaunti ya kisii kisa hiki cha mauaji kilitekelezwa na polycarp osero mwanawe marehemu .Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma imeweza kusisitiza mkewe polycarp kuwa shahidi mkuu katika kesi hiyo.

 

Insert….ofisi ya odpp

Show quoted text

Comments

Popular posts from this blog

mawakili wa kukodishwa KAUNTI ya trans nzoia