mawakili wa kukodishwa KAUNTI ya trans nzoia
Hatua ya serikali ya kaunti ya Transnzoia ya kutumia mawakili wa kukodishwa kwenye kesi mbali mbali zinahusiana na kaunti imekashifiwa vikali na chama cha wafanyikazi katika kaunti hiyoMwenyekiti wa chama cha wafanyikazi kaunti ya Transnzoia Samuel juma kiboi amesema kuwa ni kinaya kwa serikali ya kaunti kutumia mawakili wa kukodisha ilhali kuna mwanasheria wa kaunti aliyejukumiwa kuhakikisha kuwa anasimamia kesi zote za serikali ya kaunti,akisema hatua hii inachangia utumizi mbaya wa raslimali za kaunti
Comments
Post a Comment