Hotuba ya gavana wa county ya trans nzoia
Hotuba ya gavana wa Trans nzoia George Natembeya
Gavana wa kaunti ya trans nzoia George Natembeya amemtaka rais William Ruto kulikomboa eneo pana la magharibi kutokana na umaskini ambao umewakumba wengi,akizungumza katika hafla ya mazishi ya mwenda zake Anne nanyama ambaye ni mamake speaker wa bunge la kitaifa nnwtembea amesema kuwa kupanda kwa gharama ya maisha ndiyo chanzo kuu Cha kuwepo kwa Hali ngumu ya maisha
Natembeya aidha amemrai rais kulizamia swala kuu LA utekaji nyara na kuuawa kwa vijana na kuhakikisha kuwa wanaohusika wanachukuliwa hatua kali za kisheria,hii ni baada ya vijana wengi kutekwa nyara kutokana na utumizi mbaya wa mitandao kwa kuwakejeli na kuwatusi viongozi kwa kutumia vibonzo kauli ambayo imeungwa mkono na viongozi waliohudhuria hafla hiyo
Comments
Post a Comment